Chinese Restaurant moja mjini kati DSM...

 huwezi kubakiza kitu ndani ya Chinese restaurant... NOMA! appetite ya ajabu...
 Kitu cha prawns na ma-vegetables...
 Hiyo ni vegetable-prawns rice... UPOZ?
 Supu kama hii ni muhimu kuanza nayo...
 Pili pili na mambo yake souce... na chini ndio mboga yenyewe.



Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...