Wazee bakhili noma sana...

Na Chiku Haidari, DSM.
Bakhili muuza duka alimuona mwanawe anaangalia sana shampoo kwenye shelf, Basi baba alipofunga duka akamchukua mwanawe kwa kinyozi akaamuru anyolewe kipara.......
 
Mtoto aliporudi nyumbani akamweleza mamake kisa chote kwamba katizama shampoo kanyolewa nywele kipara: Mama akamwambia mtoto shukuru una bahati, laiti ungetizama dawa ya meno ungen'golewa meno yote.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...