Huko uchina matumizi ya "pick-up" au lori kubebea mizigo mepesi kama iliyopo kwenye picha hii ni aghalabu sana... sijui "sumatra" yao imekataza? fuatilia story kwenye picha juu na chini...
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba mkubwa tulionao leo. Ndugu yetu, mpendwa wetu, mwenzetu kwenye TEKNOHAMA na mdau mkubwa wa tafiti mbali mbali za TEKNOHAMA Kaka Andrew dACHI amefariki leo asubuhi nyumbani kwake Fransic Town, Botswana. Kwa sasa sina la ziada, ila tutaendelea kupeana taarifa kadri zitakavyotufikia. Tunaungana na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na maombolezo, kumwomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi, wakati taratibu za mazishi zinafanyika. Bwana alitoa, nae ametwaa. Jina lake lihimidiwe. tunaweza kujikumbusha moja ya kazi zake kwa kufungua ' http://www.isaconsulting.biz /' email yake ilikuwa ' andrew.dachi@isaconsulting.biz '
Comments
Hii kali mwanawane.
Let me tweet this, people have to see. \
LOL, thanks bro!