Habari Mvunjiko - Breaking News...

Habari za mpya zimelifikia dawati letu la habari kuhusu moto mkubwa unaoendelea kuwaka katika eneo la kituo cha mabasi cha Mwenge jijini Dar es salaam. Inasemekana kuna moto mkubwa umezuka katika kituo hicho kama dakika 40 zilizopita. Hadi sasa vyumba na mali vinazidi kuungua, hali si shwari na usalama umekuwa mdogo baada ya kukosa ulinzi kwani kila mtu anahangaika kutoka mali zake nje, Cha ajabu hadi sasa hakuna gari la kuzima lililofika katika eneo la tukio. Chanzo hadi sasa hakijafahamika na bado haijajulikana ni hasara ya kiasi gani ukizingatia moto unaendelea kuwaka na mali zinazidi kuteketea

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.