T.G.I.F


Kuna mtoto mmoja hv alichelewa kuongea hadi anafika miaka 8. Siku moja hivi akiwa na miaka 8 na kama miezi 7 akaongea neno moja tu “BABU” basi baada ya siku 3 yule babu akafa. Siku nyingine tena akasema neno “BIBI” basi baada ya siku 2 yule bibi akafa.
 
Sasa kuna siku nyingine wakiwa dining room wanakula akasema neno “BABA” aaahh, basi yule baba yake akaacha kula akakimbilia chumbani na kuanza kuweweseka na kulialia… kesho yake asubuhi HOUSE BOY akafariki. Kulikoni?

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.