Mahusiano katika picha kwa ujumla...


Je, ni kweli wanaume ni ama ndio au hapana? (on or off) hakuna longo longo... na ubavu wako (yaani mkeo au mwandani wako) ni hadithi kibao... tunning za kumwaga na bado huna hakika kama umepatia!!!

usijidanganye kama unaweza kumshinda kwenye mabishano!!! ladba baada ya kushinda na nanihii basi! na ukijifanya unajua sana kujibu, basi utazua mabishano yasiyoisha kila mwisho wa ubishi fulani... habari ndo hiyo!


hii inaka-ukweli... umeshawahi kumsindikiza bibie shopping? kama ni mtu wa kilaji lazima u-paki pahala uendelee na yeye aendelee na mizunguko ya shopping then akimaliza akukute!!! sijui ni kwanini wanakuwa wazito sana kwenye maamuzi. hasa "shopping"... kunani? NAWAKILISHA...

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.