Njoo Chukua... Kweli?

Wadau hii inasikitisha kidogo na inashabihiana na
ukweli.Kuna mdadisi amesema kuwa "Mövenpick" ina
maanisha "Move 'n' Pick"Kwamba investors
wanaoendesha hotel katika lile jengo wamegundua kuwa
Tanzania ni nchi ya kuingia na kuchukua (yaani
"MOVE" 'n' "PICK" kwa Kiingereza)Kwanza alianza
SHERATON akaingia pale akachukua na kutokomea within
the tax holiday. Akafuata ROYAL PALM naye akaingia jengo
hilo hilo na kuchukua utajiri. Aliyekuja sasa hivi ndio
kaweka nia yake wazi kuwa wao ni "MOVE 'n' "PICK"

Source: JAmiiForum

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.