Lowassa na Rostam Aziz ni wamiliki wa Kagoda Company -

SOURCE : JAMII FORUM

Jumatatu nilisema kwamba washtakiwa wa EPA,wote,kila mmoja wao,wasamehewe. Watu
wengine wakauilza,kwa nini wasamehewe,wakaniambia,"You are a ***** for making that
suggestion" Lakini sasa I am told kwamba Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa na Mbunge
Rostam Aziz ndio wamiliki wakuu wa Kagoda Agric. Co.. Sasa, siyo rahisi zaidi
kuwaachia huru watu kama hawa badala ya kuwapeleka Mahakamani?

Jana Slaa,Mbunge wa Chadema aliongea katika mkutano na kuwataja tena hawa wahusika
wa Kagoda Co. Sijui alimtaja nani,kwa sababu haikuandikwa kwenye gazeti,ingawa
ilitajwa katika mkutano. Lakini,hawa Lowassa na Rostam Aziz,ndio ambao nimesikia
from a relaible source,kwamba ndio wahusika wa hii Company.

Katika hali ya namna hii,ambapo watuhumiwa wanaweza kutajwa kwenye mkutano
uliohudhuriwa na watu 1000,lakini hawawezi kuandikwa katika gazeti,inaonyesha kwamba
kuna mazingira ya vitisho,a clear and present danger to national security,na
ingekuwa siyo jambo baya kwa watu hao,kuwa rounded up,na kupelekwa Mahakamani,so
that we may all speak freely,and breathe freely again.

Halafu nimesikia Lowassa aliwahi kumfanyia wema mkubwa Ndugu Rais.
Nimesikia,again,from a reliable source,kwamba siku moja Mwalimu Nyerere alimwita Nd.
Jakaya Kikwete aende Msasani. Alipofika kule,Mwalimu akamwamia Ndiugu
Jakaya,kwamba,"Wewe kijana,ni hodari wa kazi,ni mwanamapinduzi.....,sasa ,nenda sasa
hivi,kachukue form ugombee Urais" Sasa,Ndugu Jakaya Kikwete akakatoka pale,lakini
alikuwa hana fedha za kufanyia hiyo kazi. Ndipo,akaenda kwa Lowassa,na akapata hizo
fedha. Nimezipata hizi habari,from a reliable source,na,nadhani,zinaeleza kwa nini
hawa watu hawajapelekwa Mahakamani mpaka sasa.

In conclusion,ningependa kusema,kwamba hawa watu,kama wanapelekwa Mahakamani
wapelekwe,kama wanaachiwa huru,waachiwe huru,it is all the same to me. Rais ana
uwezo wa kuwapeleka Mahakani,and The President can rescind the order at any time,at
any time. Wale wanaosema Rais ana uwezo wa kupeleka watu Mahakamani,lakini hana
uwezo wa kuwatoa watu Mahakamani,au kuwatoa jela,hao ndio wanaotaka kuzifanya kazi
hizi ziwe ngumu,au zionekani kwamba ni ngumu.

Halafu nimepita Karatu,wiki chache zilizopita,nikasikia kwamba Ndugu Lowasa,anafanya
matayarisho ya kugombea Urais mwaka 2010,au 2015,na anawaambia watu wote wanaotaka
kugombea Ubunge katika Bunge lijalo,wawasiliane naye wapate msaada wa fedha. Hii ni
chaos,kama watu watatumia ill gotten gains kutafuta Urais. Katika
Mathematics,inaitwa Chaos. Kwamba ukianza vibaya,maendleeo yako ya badaye yatakuwa
mabaya.

Mwalimu Nyerere alitaka kuwasaidia waongoze nchi. Lakini baadaye aliingilia kati na
kumsaidia Ndugu Mkapa. Sijui kwa nini Mwalimu alibadili mawazo yake. Labda ni kwa
ajili ya maneno yao ambayo walikuwa wanyazungumza,na yaliyokuwa yanazungumzwa kuhusu
wao,kwamba wanataka "kuichukua nchi",ndio maneno ambayo hata sasa utayasikia ukienda
kule Karatu,kwamba "Lowasa na rafiki zake wanataka kuichukua nchi" Maneno kama haya
ukiyasikia kwamba watu wanataka "kuichukua nchi",ukiyasikilza yanakuwa kama ya
kifisadi.

Again,I say,haya mambo hayanihusu mimi. As far as I am concerned,hili swala kwangu
mmi limekwisha,kwa sababu nimeshawafahamu hawa mafisadi,ni akina nani,and that is
all I wanted. Haya mambo yajadiliwe bila kujali nani atakasirika. Yajadiliwe kama
timu ya mpira inavyojadili mambo wakati wa half time,bila ya kujali nani ataudhika.
Muhimu ni kuwaondoa tu watu wasiohusika kabla ya kuanza kujadiliana.

VERE INTERESTINGI... JE NI KWELI?

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.