watoto wa siku hizi...

Katika daladala katoto ka nursery kanaimba: “Baba angekuwa jogoo na mama mtetea, mi ningekuwa kifaranga”.

Watu kimya.

Akaendelea: “Baba angekuwa beberu na mama mbuzi, mi ningekuwa ndama”.

Konda kaona kanamzingua akakauliza: “Je, baba angekuwa mlevi na mama changudoa

we ungekuwa nani?”

Katoto kakajibu, “Si ningekuwa konda wa daladala?”

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...