Obama na Berlusconi...


Raisi Barack Obama wa Marekani akiteta na waziri mkuu wa Italia Silvio Berlusconi. hapa ni ndani ya 'oval' office Washington DC. picha hii ni ya siku za nyuma wakati Berlusconi akiwa ziarani Marekani kabla ya tukio la kupigwa hivi karibuni.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...