Vacation... Utah


Wadau waki-ingia ndani ya mgahawa wa ki-mexicani ndani ya Utah...


Aina ya vyakula vilivyomo ndani ya mgahawa huo...



Binafsi, nilivutiwa sana na chakula hiki. Najua wabongo wengi wangekipenda, kwa kweli ni kitamu sana.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...