Wadauzzzz...

tujikumbushe kidogo... kutoka kushoto aliyetupa mgongo (anayeonekana kwa ubavu) ni Nassoro Siriwa, akifuatiwa na Francis Kassidi, Solly Brown, na Freddy Mkinga. Hapa ilikuwa kwenye harusi ya mdau mwingine Joachim Mella pale Makuti hall Msasani Beach Club. Wadau mpo... ni kipindi kidogo.

Comments

Anonymous said…
Mzee hapo umenikumbusha wadua wa IFM, wapo hao!? waslimie sana!
Herman

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...