kuna usemi kwamba, "mwanamke mwerevu huijenga nyumba yake naye mjinga huibomoa" hebu mtujuze wenye uzoefu... maana haka ka-day care center nimekapenda!!!! DUH...
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Comments
Liu said…
Actually sio kama nishawahi kwenda kupata huduma zao lakini niliwahi kupaona. Sehemu yenyewe ipo pale karibu na nanihii mita kama mia mbili hivi upande wa kushoto opposite na jengo la nanihii kama unatokea mjini. Kama kweli unataka kufika, mwambie my waifu wako anipigie simu nimuelekeze maana yeye ndo anapaswa kukupeleka. +255 719 60 97 51
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba mkubwa tulionao leo. Ndugu yetu, mpendwa wetu, mwenzetu kwenye TEKNOHAMA na mdau mkubwa wa tafiti mbali mbali za TEKNOHAMA Kaka Andrew dACHI amefariki leo asubuhi nyumbani kwake Fransic Town, Botswana. Kwa sasa sina la ziada, ila tutaendelea kupeana taarifa kadri zitakavyotufikia. Tunaungana na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na maombolezo, kumwomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi, wakati taratibu za mazishi zinafanyika. Bwana alitoa, nae ametwaa. Jina lake lihimidiwe. tunaweza kujikumbusha moja ya kazi zake kwa kufungua ' http://www.isaconsulting.biz /' email yake ilikuwa ' andrew.dachi@isaconsulting.biz '
Comments
+255 719 60 97 51