Leo ni Birthday ya Dada Hawa Salum...

 Hili ndio ji-kike la Birthday yenyewe...
 dada Hawa Salum akijiandaa kukata keki, hapa anasaidiwa na mpambe da' Aisha...
 shughuli inaendelea...
 da' Aisha Majura nae...

 fasta fasta maana ni saa za kazi, siku hizi bongo tambarare... keki mpaka kwa ofisi. hapa Bi Zainabu akipata haki yake...
shughuli ilikuwa na watu wengi... hawa ni baadhi tuu... hapa Mama Mpuno nae anajipatia haki yake.
blogu hii kwa niaba yake na wasomaji wake wote tunamtakia da' Hawa Salum kila la kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa. Mungu akubariki na kukujaalia, ndoto zako zitimie. KICHWANGUMU.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.