Shughuli bila ndafu????



maeneo kama haya nikipata mwaliko ni aghalabu sana kukosa!

Comments

Anonymous said…
haha ni kweli shughuli bila ndafu hiyo siyo shughuli tena ukute ya wachaga duhh! wachaka mkeri kuuu lanyee
Anonymous said…
mtoto kwa nyama weye!
Papaa said…
Kaka Kamanda kwenye ndafu wewe noma..
ila nimepata kiu hii kitu imenifurahisha
Papaa Shaib

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...