Christine's Birthday...

Hilo ndio jikeki la birthday ya Christine... Hongera mdada!
Christine mwenyewe akilikata jikeki la birthday yake... kama nawaona wadau walivyojaza mate midomoni!!!!
 



 Mdau Alex Marwa akilishwa keki na Cristine, chini nae Alex (Mzee) akimlisha bibie... sijui na sina hakika kama wageni wote walipata fursa hii... tehe tehe tehe...


 ma-shostito nao walikuwepo kumpa tafu bibie... kama ujuavyo... mjini shughuli ni watu!
wageni waalikwa, mabibi na mabwana... wakijichana.

Comments

Anonymous said…
Du huyo mdau pembeni wakati christine akilishwa keki mbona alikuwa na mawazo sana
huwezi kujua, natamani mdau husika ajibu na kutuambia kulikoni mawazo lukuki katikati ya furaha za wenye shughuli?!??!??!

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...