Kitu asilia...

wenye asili nayo mate lazima yawatoke... hii kitu si mchezo! ikitoka kupikwa tuu huwa kama juice, ikisha faa huwa kileo, ikilala huwa noma zaidi...

Comments

Anonymous said…
haahaa safi hiyo nimekumbuka mgombani kwa bibi jamani Desemba lazima nikahesabiwe na mm haha

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...