UVUMILIVU AFRICA: Is it a Compliment ?

Mkanganyiko wa matukio kabla na baada ya uchaguzi TZ umenikumbusha ujumbe wa waziri wa mambo ya nje Denmark. Katika mkutano wake na wasomi wa chuo kikuu (CBS), Waziri huyu aliulizwa ni kitu gani cha pekee anaweza kujifunza kutoka Africa.
Jibu lake lilikuwa ni UVUMILIVU. Anasema africa tunavumilia vitu ambavyo haviwezi kuvumiliwa kokote duniani. "Africans are exceptionally tolerant". Is this a compliment ?
 
Source: JamiiForum

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...