BREAKING NEWS - MSIBA MKUBWA TANZANIA...

MSIBA KWA WAPENDA BURUDANI NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.. WASANII 13 WA 5 STAR TAARAB WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA KIJIJI CHA DOMA , MIKUMI MKOANI MOROGORO...( MCHUMU MCHUMU TENA MWAAAAAAAAAA NAYE AMEKUFA( ISSA KIJOTI)
MAJERUHI WA AJALI HIYO AKIWEMO YULE MAMA ALIYEIMBA KINYAGO CHA MPAPUREEEEEEE NYAMAZA NIKUSTIRI WANAENDELEA VIZURI , HUKU MMOJA AKIWA NA HALI MBAYA LAKINI HAJA TAMBULIKA NI NANI .
TUTAENDELEA KUWAPATIA HABARI KADRI TUNAVYOZIPOKEA... KWA NIABA YA BLOGU HII NA WADAU WAKE, TUNATOA POLE KWA WOTE WALIOFIWA NA KUMWOMBA MWENYEZI MUNGU AZIWEKE MAHALA PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU WOTE, AMINA.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...