Baadhi ya vitambulisho vya Hayati Alfred S. S. Mosha (1944 - 1994)

R.I.P Alfred S. S. Mosha

Kitambulisho hichi cha juu ni cha "Deputy Chief Commissioner" wa Tanzania Boy Scout. Wakati huo Chief Commissioner alikuwa Marehemu Mzee Ngonyani. Maskauti wa enzi hizo tunawakumbuka sana hawa. Cha chini ni cha Umoja wa Wazazi wa CCM. Hayati Alfred S. S. Mosha alikuwa "comrade" machachari wa CCM
 R.I.P Alfred S. S. Mosha

Comments

Papaa said…
Nashukuru sana kupata kitu kama hichi..... saafi yaani its so amaizing yaani hasa kilichonivutia ni hiyo signature yake.....
RIP S. S. Mosha.... Papaa
bongotambarare said…
Papaa... Mdingi alikuwa noma. Hiyo sahihi si ya kitoto... enzi hizo wanaoijua wanakwambia ulikuwa ukiipata tuu, mambo yako mswano. Na kuiiga haiwezekani! utakosea tuu... Pia pen iliyokuwa inatumika kushukia hiyo sahihi ni soo lingine! Kwa kweli jamaa alikuwa na MAJAMBOZ YAKE! R.I.P Alfred S. S. Mosha
Anonymous said…
kwa enzi zile sivii yake itakuwa imetulia kweli
Naahidi kuwaletea CV yake COMPLETE baada ya muda kiasi.

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.