NDEGE YADONDOKA HUKO MBEYA LEO ASUBUHI


Hii hapa ndio ndege yenyewe na mahali ilipoangukia baada ya injini zake kuzima ghafla. Ni Ndege ambayo ni mali ya kampuni ya Kapunga Rice huko Mbeya.

KICHWANGUMU Blog Tunawapa pole wote waliopatwa na tatizo hili, kwa taarifa tulionaza hamna mtu aliyepoteza maisha wote wametoka salama ni mmoja tu alipata majeraha madogo.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Taarifa hii tumeipata kutoka mbeyayetu Blog NA KAPINGAZ BLOG

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...