MSIBA.

Habari zilizoingia saa hii hii, ni kwamba Capt Mazula (wa ATCL) amefariki dunia. Alikuwa mgonjwa, akafanyiwa upasuaji wa mgongo, bahati mbaya hakuamka. Tunafuatilia kwa karibu habari hizi ili tuwaletee utaratibu mzima wa mipango ya mazishi.

Natanguliza pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki, pamoja na wafanyakazi wenzake wa ATCL.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...