Rita Paulsen...


Wadau huyu dada namkubali kinoma... ukianzia na Benchmark Production (professional Video and Audio Production Company based in Dar es salaam, Tanzania), Bongo Star Search, na mengine mengi tuu... mpaka fashion show huwa anashiriki kwa sababu maalumu, kama kuchangia yatima n.k kwa kweli anavipaji vyakutosha.

Nakukubali madame Rita...

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...