Mpare mmoja akiwa katika shughuli zake za kawaida nyumbani kwake, ghafla akaporomoka kutoka ghorofani. Kabla hafika chini akampigia kelele mkewe akisema "MAMA NATUJWA, USIPIKE LEO. NITAKULA HOSPITALI.'
DUH!!!!
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Comments
Anonymous said…
Unajua siku hiyo budget ilikaaa vibaya na sio bahati mbaya kuanguka gorofani it was meant to server cash....
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu msiba mkubwa tulionao leo. Ndugu yetu, mpendwa wetu, mwenzetu kwenye TEKNOHAMA na mdau mkubwa wa tafiti mbali mbali za TEKNOHAMA Kaka Andrew dACHI amefariki leo asubuhi nyumbani kwake Fransic Town, Botswana. Kwa sasa sina la ziada, ila tutaendelea kupeana taarifa kadri zitakavyotufikia. Tunaungana na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na maombolezo, kumwomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi, wakati taratibu za mazishi zinafanyika. Bwana alitoa, nae ametwaa. Jina lake lihimidiwe. tunaweza kujikumbusha moja ya kazi zake kwa kufungua ' http://www.isaconsulting.biz /' email yake ilikuwa ' andrew.dachi@isaconsulting.biz '
Comments