Alternative way to burn calories...

Watu wamekuwa wakishinda na njaa, kukimbia mitaani, kufanya mazoezi mazito ili kupunguza uzito.

Njia nyingine ya kuunguza calories na kupunguza uzito ni hii.
·         Kuwa  na roho mbaya …………………………50   calories burned
·         Kuwa na wivu…………………………………..70 calories burned
·         Kuwa na hofu ya Kufumaniwa……………500 ukifumaniwa ina double (X2).
      Kuwa na hofu ya Kufumaniwa na mume/mke wa mtu .......…1500 
      Ukifumaniwa na mume/mke wa mtu ...................................3000
·         Kuwa muongo…………………………………..100 calories burned
·         Kusutwa………………………………………..800 calories burned
·         Kuwa na mpenzi  mwenye mdomo……………...500 calories burned
·         Kuwa na mpenzi  muongo………………………. 600 calories burned
      Kuwa na mume/mke asiyetimiza mnayokubaliana… 3000 calories burned

Chagua njia utakayoona inafaa kulingana na calories unazotaka kupunguza.

Comments

Popular posts from this blog

Killer House / Office Plant.

Taarifa za msiba...

Kenneth Brumley wa texas "marekani"