Nyumba Nzuri Sana Maeneo ya Sakina, Arusha.

 Nilibahatika kwenda nyumbani kwa rafiki wa kaka yangu kumwona mtoto wa kaka ambaye alikuwa afikia hapo baada ya kufunga shule akisubiri kurudi kwa wazazi wake Dar. Hii nyumba kwa kweli ni nzuri sana... ukiingia tuu, unakutana na ngozi ya zebra (Pichani juu na chini) upande wa kushoto. Mbele unakutana na kioo ujiangalie vizuri na kulia ndio unaingia "Sitting room" si mchezo...

 Mama mwenye nyumba akiwa na kamanda Charles Shumbusho. Bahati mbaya Baba mwenye nyumba hatukumkuta, alikuwa mzigoni akizidi kuzichanga... Nyumba NZURIII!
 Garden kidogo kwa nje na parking kwa mbaaalii...
 Ka-corridor kuelekea nyuma ya nyumba... kausafiri kakitokea huko nyuma...
 Majadiliano ya wageni na ku-admire nyumba yakiendelea... wenyeji kama bi Mkunde akiendelea kutoa maelekezo...
 Kwa nje... na garden kubwa zaidi yenye bembea na vikorombwezo kibao vya wakubwa na watoto...
 Gate la kutokea nje... kushoto, kulia kote garden...
Aaah! uncle Charles wee.... inaelekea anasema "nyumba kubwa na nzuri kama hivi..." hapo alikuwa na bi Mkunde...

Comments

Esther Namirimu said…
Hello Ino Mosha
i hope you are fine.
I have loved your uncles house and i am interested in writing about it in our newspaperntche

Popular posts from this blog

A tete a tete with Dr. Devi Shetty (Heart Specialist) on heart care issues. A hint to all of us...