Mwanza International Airport leo asubuhi hii

Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku kucha huko Mwanza, matokeo yake ni kutengeneza kaziwa kadogo pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwanza kama inavyoonekana pichani. Hii ni leo asubuhi hii...

Comments

Subi Nukta said…
Msiiseme vibaya Serikali, kwani itafanya kila kitu? Tumejitahidi, tumeweza na tunasonga mbele, umesikia Kichwangumu Inno? Kweli Tanzania dah! Tanzania ni yetu kweli kweli. Nimeishiwa vitamkwa!
bongotambarare said…
TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE! hakuna anayebisha, huo ndio ukweli na tutaendelea kusonga mbele. Mungu Tubariki.

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...