Malumbano ya Mteja na Muuzaji, Kituoni Mwenge...

Mteja: Unauza kiasi gani mitego kumi ya panya?

Muuzaji: Unataka kwenda nayo?

Mteja: Unafikiri panya watakuja kuichukua    hapa?





Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...