Send Off Party ya Elizabeth Mwaipopo 5th July 2012

 Keki, juu na chini tayari ikisubiri shughuli...

 Shampeni za kumwaga zikisubiri kushughulikiwa...
 Baadhi ya wawezeshaji wa shughuli hiyo "wana-kamati" wakiwa na baba wa Elizabeth (Mr. Ande Mwaipopo kushoto) katikati ni Jovin Shumbusho na kulia ni Mwenyekiti wa kamati Mr. Makoye
 Kwa wasiotumia vinywaji baridi walipa chai au kahawa... "Life is all about choices"
 Meza kuu, juu na chini zikimsubiri bibi harusi mtarajiwa...

 Bibi harusi mtarajiwa Elizabeth Mwaipopo akikata keki juu na chini...



 Wageni waalikwa Edgar (kushoto) na Deo Shumbusho...

 Baba wa bwana harusi mtarajiwa Mzee Paul Sozigwa (mwenye shati la draft) akiwa shughulini...
 Baba wa bibi harusi mtarajiwa Mr. Ande Mwaipopo na mkewe wakifuatilia shughuli...
 Mr. George Mnyitafu (kulia) na Mr. Richard Shumbusho (anayefuatia) wakifurahia jambo...

 Hata Deo Shilima alifunga safari kutoka Mwanza mpaka Dar kuhudhuria shughuli hii... chezea nanihii wewe!
Advocate Mwandambo (kushoto) na mgeni mwingine ambaye jina lake halikupatikana mara moja wakifuatilia shughuli...

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.