Today's joke...

Papa Benedict wa 16 alikwenda shopingi na kumchukua dereva wake ila alimwambia: "Naendesha mwenyewe leo."

Hivyo, dereva alikaa upande wake wa kushoto na papa akaendesha mwenyewe gari, dereva akiwa ni abiria. Kufika mjini trafiki aliwasimamisha, kuangalia ndani ya gari akatimua mbio kumfuata mkuu wake. Mkuu wake naye alipofika na kuangalia ndani naye akala kona. Yule trafiki ikabidi amuulize mkuu wake: mbona unakimbia? Mkuu akajibu:Kama papa ameamua kumuendesha yule mtu, basi ni Yesu au ni Mungu mwenyewe.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.