Weka maneno mwenyewe...

Hii picha imenisikitisha, imenihuzunisha, imenisononesha na kuninyima raha kabisa. hebu tutafakari kidogo, mtoto huyu amekosa nini mpaka alale chini mahala pachafu kiasi hiki. Ni jamii gani inaruhusu hali hii? Wazazi wake wako wapi? Serikali iko wapi? Jamii iko wapi? Mashirika ya kijamii (NGO's) yako wapi? Tunajenga taifa la aina gani? Tunawaachia urithi upi vizazi vijavyo? Ni nini hii? Sielewi... Hivi, atakuwa amepata chakula bora kweli? Kesho yake ikoje? Matumaini anayapata vipi? Tafakari na uchukue hatua!

Comments

Anonymous said…
HII PICHA

1. Imepigwa wapi?
2. Lini?
3. Na nani?
4. Alichukua hatua gani?

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.