
mh. diwani wa maeneo ya kigamboni mama lilian rweyemamu na mumewe nao walikuwepooo!

wototo wakiselebuka kusheherekea kipaimara cha janet na john ukumbini.

mkuu wa kambi brig gen s. s. omar (aliyekaa kati) na mkewe (kushoto) pamoja na col. (rtd) kisebengo nao pia walikuwepoooo

hawa ndio wazazi wazaa chema vale na mumewe joseph siku hiyo ya sherehe ya watoto wao
Comments