One Stop Border Post Seminar in Nairobi

semina hiyo iliongelea mustakabali mzima wa namna ya kuboresha utendaji kazi na ukusanyaji wa ushuru wa forodha kwenye mipaka wa nchi za africa mashariki. semina hii ilifanyikia nairobi nchini kenya na kuthaminiwa na JICA pamoja na KRA.

pichani watatu kutoka kulia waliokaa ni kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato tanzania nd. harry kitillya, wa kwanza kushoto kabisa waliokaa ni kamishna wa ushuru wa forodha nd. george lauwo, aliyekaa katikati ni mgeni rasmi aliyefungua semina hiyo, naibu waziri wa fedha wa kenya mh. odinga. wapili na watatu kushoto waliokaa ni makamishna wa ushuru wa forodha wa uganda na kenya.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.