besdei ya bwigane mwasabwite

leo ni siku ya kuzaliwa kwa mrembo wetu mwingine... kama ilivyo ada, huwa hatuna "ntima nyongo" tunamrusha hewani. ni dada bwigane mwasabwite.

HEPII BESDEI BWIGANE.

Mungu baba mwenyezi akujalie maisha marefu, mazuri na yenye afya njema. ufanikiwe na ndoto zako zitimie... upate watoto wa kutosha kuanzisha timu ya mpira wa miguu na netiboli.

wanaokutakia heri ni bw. na bibi g. mwasabwite, kaka obby m, dada sara seme, jakline fairom, wafanyakazi wenzako akina john cosmas, stephen mfikwa, chiku haidari, flora kijole, mimi na wengineo wote.

siku njema.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...