Nawakilisha....

kwa wale wanaotuma barua pepe zinazosema upeleke nakala kazaa au kadhaa au kathaa kwa watu kazaa na usubiri maajabu! basi mdau wetu hapo bado anasubiri maajabu yatokee! tusidanganyane jamani... NOMA!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...