Benki ya NMB yahamisha shughuli zake mpakani Namanga

 Ofisi iliyokuwa inatumika na idara ya Uhamiaji kwa pamoja na benki ya NMB zikivunjwa kupisha ujenzi wa kituo cha kisasa cha forodha kijulikanacho kama "One Stop Border Post - OSBP".
 Ofisi mpya na za muda za NMB hapo mpakani Namanga, zipo nyuma ya ofisi za sasa za idara ya Ushuru wa Forodha (Customs and Excise) za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hapo mpakani Namanga. Zimefuatana na ofisi za idara ya Uhamiaji.
 Kushoto ni jengo la iliyokuwa "Bureau de Change" hapo mpakani Namanga upande wa Tanzania. Zimevunjwa kupisha ujenzi wa kituo cha kisasa cha forodha - OSBP.
 NMB na ofisi zao za muda "mobile bank"


Gari linalotumika kama Mobile Bank ya NMB.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...