Sarafina Tavern - Namanga Border

 Moja ya sehemu za burudani, misosi na malazi maeneo ya Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya. Panaitwa Sarafina Tavern kwa nje.
 Kwa ndani, unapoingia...
 Siku za mwisho wa wiki kama Jumamosi na Jumapili kunakuwa na "buffet" la kufa mtu...

 Kwa "order" wana kitu cha samaki foil... pichani juu na chini.


 Jioni tulijipendelea kwa sato na ndizi, kama kawa huyu mnyamwezi tuliyenae aliamua kufuata mila. Ugali kwa samaki... alichoka kula mboga tuu!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...