Ziara ya Mheshimiwa Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Saada Salum mpakani Namanga

 Mh. Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum (katikati mwenye nguo ya bluu) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa shughuli za Uhamiaji mpakani Namanga.
 Mh. Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum (mwenye miwani) akiendelea na ziara mpakani Namanga. Juu na chini.

 Maofisa mbali mbali wa serikali waliofuatana na Mh. Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum mpakani Namanga.
 Pichani juu na chini ni baadhi ya magari yaliyopo kwenye msafara wa Mh. Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum.



Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.