Mercedes Benz...

 Mchuma ukionekana maeneo ya Namanga, haikujulikana nini kilitokea ila uimara wake ulisaidia sana kuokoa dereva na abiria wake.

 Hadi side mirror, kioo cha pembeni kilivunjika. unaweza kuhisia tuu "impact" ilikuwa kubwa kiasi gani?

Kioo cha mbele upande wa dereva!

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...