On the way to Namanga, a border between Tanzania and Kenya.

 We used a brand new Land Rover, with a Puma engine, six speed, very comfortable machine with AC na Kawawa kama kawaida ya Land Rover... juu na chini...

Mtambo ulikuwa na kilometer kama 16 tuu. Yaani ni jipya mpaka hatari...
 Barabara ya kutoka Arusha kwenda Namanga imetengenezwa, bonge la mkeka... picha ya juu na chini. Hongera JK.

 Ujenzi wa OSBP Building and other infrastructure ukiendelea kwa kasi upande wa kwetu. Kwa watani zetu hata "compensation" kwa wamiliki wa majengo bado... Hongera tena JK.
 Pichani juu na chini inaonekana barabara kutoka Arusha ikiishia hapo, kuanzia hapo kutakuwa na barabara "lanes" kama nne hivi kuelekea kwenye OSBP building. 

 Moja wapo ya madaraja yanayoingiza magari kwenye OSBP yakimaliziwa kujengwa... juu na chini.

 Wajanja wameshawahi kuweka vikwangua anga Namanga kama kinavyoonekana pichani juu na chini.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.