BREAKING NEWS...

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA KWAMBA, ALIYEKUWA KAMISHNA WA USHURU WA FORODHA (COMMISSIONER FOR CUSTOMS AND EXCISE) KWENYE MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA), MR. WALID JUMA AMEFARIKI DUNIA.

TUTAENDELEA KUWAPATIA TAARIFA KADRI TUNAVYOZIPOKEA.

MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI. AMINA.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...