Msiba wa Hayati Walid Juma

Hayati Walid Juma. Hapa ilikuwa ni mwezi September mwaka 2011.

 Msiba wa aliyekuwa Kamishna wa Forodha Bw. Walid Juma uliotokea usiku wa kuamkia jana huko Ufaransa akiwa kwenye matibabu. Kwa wakati huu taratibu za kusafirisha mwili wa mpendwa wetu kurudi nyumbani zinaendelea. Mtafahamishwa taratibu za mazishi hapo baade.
 
 Kwa niaba yangu na blog hii, tunatoa pole kwa ndugu, jamaa, pamoja na wafanyakazi wote wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa msiba huu mkubwa.
 
"Sisi sote tumetoka kwa Mwenyezi mungu na kwake tutarejea".

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.