Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Namanga ukiendelea kwa kasi.


 Kanisa hili lilivunjwa kupisha ujenzi wa One Stop Border Post (OSBP) ya Namanga upande wa Tanzania. Wahusika walifidiwa na wakapisha ujenzi. Hapa ni jengo jipya linalojengwa baada ya kufidiwa.


 Hapa ni Kanisa la muda wanalotumia waumini wa kanisa hilo wakati wakisubiria ujenzi wa kanisa lao ukamilike.

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.