Je ni kweli? Nawakilisha...

------------------------------------------------------------------

LAW OF QUE/JAM:

Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha
unakwenda mbio zaidi.

-------------------------------------------------------------------

LAW OF TELEPHONE:

Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy)

--------------------------------------------------------------------

LAW OF MECHANICAL REPAIR:

Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza
kuwasha ili uikune

--------------------------------------------------------------------

LAW OF THE ALIBI:

Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari
lako limepata pancha au unaumwa kesho yake utapata pancha au utaumwa kweli

--------------------------------------------------------------------

BATH THEOREM:

Ukishajitia maji tu simu itaanza kuita au mtu anabisha hodi

------------------------------------------------------------------

LAW OF ENCOUNTERS:

Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa
na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae.

--------------------------------------------------------------------

LAW OF RESULT:

Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako
imeharibika ukiwasha itafanya kazi

--------------------------------------------------------------------

LAW OF BIO-MECHANICS:

Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale
ambapo huwezi kujikuna

--------------------------------------------------------------------

THEATRE RULE:

Watu wanaokalia viti vizuri ndio wanaochelewa kufika

--------------------------------------------------------------------

LAW OF COFFEE:

Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa yako bosi
atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa yako ipoe.

------------------------------------------------------------------

LAW OF CLOTHES:

Siku ukienda kwenye party ukaamua kutoka ‘kuvunja kabati’ au ‘unapiga mwisho wa sanduku’

unakuta wengine wako soo casual ‘simple’ na uko out of place

Siku ukiamua kuvaa casual anakuta

wengine wametoka ile mbaya na uko out of place

------------------------------------------------------------------

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.