nondoz za kufa mtu!


ni binti mrembo kwa sura na maumbile, anaitwa alia sabur. ni profesa wa "material science engineering" tangu akiwa na miaka kumi na nane kutoka drexel university. sasa hivi anafundisha konkuk university ya seoul, south korea kwenye masomo ya engineering, kama anavyoonekana pichani.

anapatikana kwenye tovuti yake ya http://www.aliasabur.com/index.html

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...