kampuni ya IPP Limited leo imetangaza kumteua Bi. Sakina Zainul Datoo (shoto) kuwa Mkurugenzi wa Uhariri wa magazeti ya IPP kuanzia April 7, 2008, kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na katibu wa kampuni, Nd. Agapitus L. Nguma.

Kabla ya hapo Sakina alikuwa Mhariri mtendaji wa Sunday Citizen kwa miaka takriban mitatu na usheee, akiwa ametokea The Express alikofanya kazi miaka mitatu kama mhariri mkuu. Sakina pia ni mwenyekiti wa Editor's forum.

Globu yetu inampongeza Sakina kwa mzigo huo ambao tuna imani kwamba kwa uzoefu ulionao ataumudu bila matatizo. Mungu amsaidie.

Habari na picha kutoka http://www.issamichuzi.blogspot.com/

Comments

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.