Isaac Dunstan Kwagilwa apumzika



hatimaye ndugu yetu amepumzika kwenye nyumba yake ya milele siku ya jumamosi mida ya alasiri kule makuyuni - tanga. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. amen.

Comments

Anonymous said…
Familia ya ngd Isaac Kwagilwa,nawapa pole kwa msiba mkubwa uliowapata.
Mungu awatangulie katika kipindi hiki kigumu.Jambo kubwa ni kumtegemea Mungu.
Mungu ametoa na ametwaa jina lake ribalikiwe.

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...