Marco apata mwenza!


harusi ya kufana kati ya bw. marco na bi tusajigwe (issyu) ilifanyika jijini dar es salaam katika kanisa la mt. joseph tarehe 12 january 2008 na baadae kwenye tafrija la nguvu pale istana br. ya ali hassan mwinyi maeneo ya victoria. bwana harusi ni mhandisi wa tigo songea na bibi harusi ni mjasiriamali wa hapa hapa bongo! wasimamizi ni bw. na bibi victor.

Comments

Anonymous said…
duuh vijana wamependeza haswa,hii inatoa changamoto kwa wengine kufanya uamuzi huo wa busara na muhimu.
nawatakia ndoa njema mungu awe nanyi
Anonymous said…
Duh Issyu umependeza kinoma na Marco. Na soldier yaani mimi siongei, umependeza kweli.

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.