jk ndani ya boao china


JK akishangiliwa na wananchi wa mji wa Boao katika jimbo la Hainan nchini China leo mara baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Mkutano unao jumuisha nchi za Asia na waalikwa toka baadhi ya nchi za Ulaya na australia. JK ni Rais pekee wa Afrika aliyealikwa katika mkutano huo. Picha kwa hisani ya blogu yetu ya michuzi.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa za msiba...

HARUSI YA KAKA YETU ND. MOSES MUDONKO...