semina elekezi





watumishi wa mamlaka ya mapato tanzania wakiwa katika warsha, au kongamano au semina kama sikosei ya kuhusu mambo yote ya msingi ya vvu/ukimwi jana pale protea courtyard hoteli. pichani baadhi ya watumishi pamoja na wakufunzi katika matukio mbali mbali.

Comments

Hiyo Semina elekezi imefika sehemu husika ni vyema mkapatiwa ingine kabla
hamjayasahau hayo.Nawasiwasi na huyo kaka hapo chini kweli alikuwa anaelewa au ni
pozi la kuakaa hapo.

Nafurahi nikiona vijana wanapata semina elekezi kuhusu masuala ya Ukimwi,ni vyema
pia mkafuatilia sheria ya ukimwi iliyopita mwaka jana november(HIV/AIDS(Preventive
and Control)ACT 2007)

kwa niaba ya mdau wa masuala ya ukimwi.

Popular posts from this blog

FAMILIA YANGU ILIPOTEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA CHA FURAHA MBWENI KINACHOSIMAMIWA NA MASISTA WA KATOLIKI WA SHIRIKA LA KIMISIONARI LA BIKIRA MARIA MAMA WA YATIMA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 17 JANUARI 2016

Rest In Peace Son of Africa, Meles Zenawi.